iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Mitandao ya Iraq imesembaza klipu ya marhum Ayatullahil Udhma Sayyid Mohammad Saeed Tabatabai Hakim akiwa katika matembezi ya Arobaini ya Imam Hussein AS katika miaka ya nyuma.
Habari ID: 3474258    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/04

TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu za rambirambi kufuatia kuaga dunia Ayatullahil Udhma Sayyid Mohammad Saeed Tabatabai Hakim wa Iraq.
Habari ID: 3474257    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/04